ٱللَّهُ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْحَىُّ ٱلْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُۥ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَمَا فِى ٱلْأَرْضِ ۗ مَن ذَا ٱلَّذِى يَشْفَعُ عِندَهُۥٓ إِلَّا بِإِذْنِهِۦ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَىْءٍ مِّنْ عِلْمِهِۦٓ إِلَّا بِمَا شَآءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ ۖ وَلَا يَـُٔودُهُۥ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ ٱلْعَلِىُّ ٱلْعَظِيمُ
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
Soma aya hiiRatiba ya kusoma kurasa zote 604, ukurasa mmoja au miwili kila siku. Chagua tarehe kuona sehemu ya kusoma.
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
Soma aya hiiSoma Quran mtandaoni yenye sura zote 114, aya 6,236 na juzuu 30. Chunguza maandishi asilia ya Kiarabu, chagua tafsiri zilizothibitishwa katika lugha 18, na pitia kwa sura, juzuu au ukurasa.
Sikiliza kisomo cha Quran unapovinjari, hifadhi aya katika Qurani Yangu, na urudi ulipoishia kusoma. Badilisha kati ya kusoma aya moja baada ya nyingine na kusoma mfululizo, ukitumia mipangilio ya mwonekano inayorahisisha usomaji wa kila siku. Tumia mwongozo wa kusoma na maelezo ya vyanzo kujifunza jinsi ya kuvinjari, matoleo ya tafsiri na maandishi yanayotumiwa na kisomaji hiki huru.