قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
Soma na usikilize Al-Falaq, sura ya 113, yenye aya 5. Iliteremshwa Makka. Maandishi asilia ya Kiarabu yenye tafsiri zilizothibitishwa.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ
Na shari ya alivyo viumba,
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ
Na shari ya giza la usiku liingiapo,
وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّـٰثَـٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ
Na shari ya wanao pulizia mafundoni,
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ
Na shari ya hasidi anapo husudu.