إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ
Hakika tumekupa kheri nyingi.
Soma na usikilize Al-Kawthar, sura ya 108, yenye aya 3. Iliteremshwa Makka. Maandishi asilia ya Kiarabu yenye tafsiri zilizothibitishwa.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ
Hakika tumekupa kheri nyingi.
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ
Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ
Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.