قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
Soma na usikilize An-Naas, sura ya 114, yenye aya 6. Iliteremshwa Makka. Maandishi asilia ya Kiarabu yenye tafsiri zilizothibitishwa.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
مَلِكِ ٱلنَّاسِ
Mfalme wa wanaadamu,
إِلَـٰهِ ٱلنَّاسِ
Mungu wa wanaadamu,
مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
ٱلَّذِى يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ ٱلنَّاسِ
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
مِنَ ٱلْجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ
Kutokana na majini na wanaadamu.