لِإِيلَـٰفِ قُرَيْشٍ
Kwa walivyo zoea Maqureshi,
Soma na usikilize Quraish, sura ya 106, yenye aya 4. Iliteremshwa Makka. Maandishi asilia ya Kiarabu kutoka Tanzil yenye tafsiri zilizohakikiwa.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
لِإِيلَـٰفِ قُرَيْشٍ
Kwa walivyo zoea Maqureshi,
إِۦلَـٰفِهِمْ رِحْلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيْفِ
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
فَلْيَعْبُدُوا۟ رَبَّ هَـٰذَا ٱلْبَيْتِ
Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
ٱلَّذِىٓ أَطْعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَءَامَنَهُم مِّنْ خَوْفٍۭ
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.