وَٱلْعَصْرِ
Naapa kwa Zama!
Soma na usikilize Al-Asr, sura ya 103, yenye aya 3. Iliteremshwa Makka. Maandishi asilia ya Kiarabu kutoka Tanzil yenye tafsiri zilizohakikiwa.
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَٱلْعَصْرِ
Naapa kwa Zama!
إِنَّ ٱلْإِنسَـٰنَ لَفِى خُسْرٍ
Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْحَقِّ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.